MAJINA YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA YAMETOLEWA JUZI, MESSI NJE.

HII imepokelwa kwa mtazamo wa tofauti  na wachambuzi wengi wa mpira huku wengi wakisema ya kuwa
la pulga au messi alistahili zaidi ya mmoja wa list hiyo ambaye ni mohammed salah.
wengi wao wanasema ya kuwa Messi ameshinda makombe mawili likiwemo lile la ligi na lile la mfalme yaani copa de .....,aidha baadhi ya watu wamekuwa wakihusishanisha idadi ya magoli na kukuta bado messi ana magoli zaidi ya Mohammed salah.

         UPANDE WA PILI  wa jarada yupo modric ambaye yeye kuchaguliwa  kwake hakutiliwi shaka yoyote kwani amekuwa na msimu mzuri kwa mwaka jana akiwa na madrid, lakini pia akiwa na timu yake ya taifa kitu ambacho kina mpa nafasi kubwa kwenye upande wa chaguo la waandishi wa habari.
Image result for messiImage result for messi

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post