ORODHA RASMI YA MAJINA INAPATIKANA BODI YA MIKOPO
Kwa taarifa zaidi tembelea blogu ya mikopo ili kupata undani wa habari hii, au fanya kuingia kwenye account yako ya mikopo na kisha rekebisha mahali anbapo utakuwa umewekewa alama nyekundu,
kisha hakiki kama yalio andikwa ni ya kweli na hauna kosa wala hauna kipengele ambacho umekiacha wazi.
kwa urahisi fungua hapa.......https://olas.heslb.go.tz/