MWAKA HUU NA MIMI NIMO HAACHWI MTU
Yaah kama isemavyo kauli mbiu ya wahenga kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha nami pia naamini ya kuwa magumu yote ambayo nimekuwa nikiyapitia yanaelekea kufika mwisho kwani kila jambo ambalo mwanadamu amekuwa akilifanya limekuwa likimletea aidha faida au hasara na mimi sihitaji kuwa kinyume na mawazo hayo.
Ninaamini huu mwaka ni wangu kwa ajili yangu, tena sio peke yangu an wengi wenzangu kama wewe na yule mwenzako ambaye mmeshakata tamaa ya kuendelea mkifikiria juu ya mambo yatayojili hapo baadae.......hey haya niyasemayo bila kujipanga yatakuwa kama ndoto, na bila utekelezaji wa mipango yangu mawazo haya yatakuwa kama ujinga na wenda wazimu wa mtu fulani ambaye si timamu wa hakili.
yafuatayo ni muhimu kuzingatia ili kufanikiwa kimaisha na kiuchumi.
1. Muweke Mungu mbele kwa kila kitu unachofanya na uamini kuwa si wewe bali yeye ndie anayekuwezesha kila hatua unayoipitia kwa kila nyakati unapofanya mambo yako ya kila siku.
2. Tambua wakati sahihi ili uweze kkujiendeleza pasipo kujikomoa na badala yake jitahidi katika muda huo ambao utakuwa nao kujenga nafasi ya mafanikio yako.
3. Usijali maneno ya watu. jitahidi kugundua amali na hazina ambayo Mungu anajivunia kutoka kwako.
4. Usijeamini au kumuamini mtu yeyote kwa jambo lolote lile bali msikilize ushauri wake na uufanyie kazi.
5. Simama mbali na mihemko binafsi au kwa kiingereza inaitwa(self emotions)
"Mmaisha ya maskini ni ndoto tupu bali maisha ya mwenye mali ni halisia ya ndoto za maskini"
ASANTE KWA KUSOMA PIA USISAHAU KU-LIKE NA KUSHARE HABARI HII MOTOMOTO KWA WALE WENYE UHITAJI WA MAFANIKIO.

https://shrinkearn.com/st?api=d35443f59bdd742809c08a8c99c29a28e9c2c32c&url=yourdestinationlink.com