NA WEWE UNAWEZA KUFIKIA MALENGO YAKO LEO.
"Unapoanza, anza kabisa, na usiingie nusu nusu,
Kama ni uwekezaji, wekeza kweli kweli, hapa sizungumzi pesa au mtaji, yaani kila kitu namaanisha muda, pesa, wewe mwenyewe na zaidi maarifa yako yoote uliyonayo"
Gwemela Michael.
SIKUKATAZI KUFANYA KIDOGO KIDOGO, FANYA kidogo kidog o kama tu uko hatua za mwanzo za kujifunza au kukusanya pesa, ila bado tu hapa utakuwa ukitumia akili nyingi na za kutosha. Kwa mfano mtu akikusanya mahindi na maharagwe kwenye msimu wa mavuno kwa laki kadhaa na kuyahifadhi huku akisubiri msimu wa njaa na kuyauza kiasi kwamba akapata milioni moja, hapa huyu anakuwa ametumia akili.
follow me on instagram kama
@brightermango.
Fb page Brightermango purpose.
fb account Brighter Mango.
copied from google.com
