#UMMY_MWALIMU NI SHUJAA WA TANZANIA(MOTHER-AFYA)

🚑 MOTHER AFYA!🏪
blogger.
Gwemela.
Thank you for best nurturing time that your giving us.
(Asante kwa muda wako wa Malezi kama mama uliolipa Taifa)
Wewe ni zaidi ya mpambanaji wa clouds fm na wengine woote waliokupa vyeo ambavyo vinafafanua mchango wako kwenye jamii yetu hii yenye watoto wengi huku asilimia 44% ni wenye umri miaka 0-14 kutokana na sensa ya Mwaka 2012, kabla ya kukupa cheo changu leo siku ya Eid, kwanza nikutakie MAMA AFYA Eid MUBARAK, AND EID DAY MAQBUL, zaidi sana niseme kwa wakati sasa walisahau kuwa umetutoa baadhi yetu kwenye hatari hasa kwa moyo wako wa ujasiri, kuboreshwa kwa mifumo ya afya ni ishara ya wazi kuwa MAMA AFYA you deserve it all, Mimi nakuita MAMA alafu nakuvika taji kubwa La MAMA_AFYA/MOTHER_AFYA🚑.
 Mtu ataniambia leo Gwemela Vipi, kwanini unatype wasifu na sifa kwa mtu wakati wewe ulipanga kutufundisha namna bora ya kuweza kufanikisha mipango na malengo yetu.
  🌺well, ni kweli hiyo ndio sababu yangu kurudi facebook nikiwa na sura na muonekano mpya ambao kwa huo sasa Leo nimependa kumtumia Mother Afya, OUR health minister @ummy_mwalimu whose recruictment(uteuzi wake) wote tunaujua kuwa ni ule wa kuaminiwa na Mh. raisi Dr. Magufuli, pia hana jimbo lolote bali ni Mbunge wa kuteuliwa, kwa hivyo ni wazi kabisa kwa sababu ya jitihada zake binafsi kainuka juu ndipo aliweza kuonwa na darubini ya Genius Mwingine, Mh raisi wetu.🔭
🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾
CHA KUJIFUNZA HATA DEBE LINAWEZA KUTOA SAUTI LAKINI LISIWE NA THAMANI YA NGOMA AU HADHI YA SAUTI YA JUU, MAMA AFYA NI NGOMA NZURI ILIYOKUWA IMEFICHWA NA DEBE, KWA HIVYO KUNA WAKATI ALITAKIWA KUKAA KIMYA NA KUSUBIRI NA NDIVYO ALIVYOFANYA🌹.
🚮Leo unaweza fikiri kila kitu kipo unnoticed by other, yaani hawakioni, no no sio kweli, ni muda tu ndio haujawa sahihi, kama wewe unanifuatilia kwenye post zilizopita nilikupatia sheria 10 za maskini kuzifuata ili nae awe tajiri, Mojawapo ikiwa ni kusubiri muda sahihi( lay low) ila hapa nikimaanisha uwe na muendelezo wa ufanyaji kazi, Usiogope kuhusu elimu ulio nao, napenda kumnukuu 🎵🎤 @madamRitapaulsen aliwahi kusema " kama unayo unayo tu(if you have got it, you have it)" so na wewe usiogope kufanya sawa hapo ulipo eti kwa sababu hakuna anayesema unafanya vizuri, au kwa kuwa hakuna anayekupongeza na kukubali kwa wakati huu.
mimi nikutakie eid Mubarak, Brighter Mango.
🌴cc: @clouds_Digital for photo.
💡c:article by Brighter Mango.
photo from UNHCR

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post