JINSI JAMII INAVYOKUZUIA KUKAMILISHA NDOTO ZAKO NA NINI UFANYE

''We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom'' -Gwemela

JINSI JAMII INAVYOKUZUIA KUKAMILISHA NDOTO ZAKO NA NINI UFANYE.?

  Imeandikwa Gwemela Conrad.

  Instagram @brightermango 

  Telephone whatsapp +255674167126.

............................. ......... .........................

Najua tulio wengi hatupendi 😿kusoma maelezo marefu kama haya... lakini soma hadi mwisho alafu share naaamini itakusaidia mahali.


Watu ni kundi👲👳💂👷👥 la viumbe hai wenye uwezo mkubwa wa akili na utambuzi wa mambo(hekima). 

 ðŸ‘‰HAWA WATU HAWA,  ndio hao hao wanaoweza kukufanya ukate kata tamaa na ukaacha kufanya unachokifanya.


Kwa mfano.

1. Ukiwaza kuuza vitu mtandaoni, wao huko mtandaoni watasema wewe ni mwizi wa mtandaoni(Scamer)... na ukikasirika utaacha ili kuepusha tafsiri mbovu.


2. Ukisema ndoto yako ni kupata kazi nzuri na yenye kukupatia mahitaji yako, WATU watakuja juu na kusema " Ndoto ni zaidi ya kazi ambayo inalipa vizuri kwenye maisha"


3. SASA ukisema ngoja nijiajili au waniajili kwenye kazi ya mshahara mdogo, Utaskia "ooh no poor me, huyu jamaa kweli hataki mafanikio"


Yapo Mengine mengi sana kwenye jamii yetu, Ebu fikiri huu mfano wa huyu mwanakijiji.

  1. Alipanda baiskeli yake na mtoto wake...watu wakasema anaiharibu baiskeli.

  2. Basi akasema ngoja ampandishe mtoto na yeye atembee,, Watu walipomuona wakasema mtoto wake hana adabu.

  3. Ikabidi washuke woote,,;, Watu wakawaita wajinga kwa kutembea wakati baiskeli ipo.

   4. Mwishowe Baba alifanya maamuzi yake kwa kumpandisha mtoto na yeye mwenyewe wakaendelea na safari yake.


*WATU HAWATARUHUSU NDOTO ZAKO ZITOKEE*


JIFUNZE📖.. hakuna Jinsi yoyote unavyoweza simama kama utahitaji kuyasikia mawazo ya jamii au watu..

WATU WANAWEZA FANYA ANGUKO LAKO LAKINI UKIHITAJI MSAADA WAO HAWATOKUPATIA KAMWE.

JIFUNZE: NJIA RAHISI YA KUSHINDA NI KUJISHINDA WEWE MWENYEWE NA SIO KUPOKEA KILA USHAURI KUTOKA KWENYE JAMII YAKO.

brightermango.blogspot.com

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post