Kutokana na mtandao kuwa chini kwa wakati fulani watu hutafuta namna ya kuingia mtandaoni.. na hivyo kwa upande fulani nchini Tanzania baadhi ya watu walikumbana na kadhia ya kukosa mtandao au mtandao kuwa chini.. hivyo baadhi ya watu walielezea namna ambavyo wameweza kuruildi tena mtandaoni na kuendelea na shughuli au majukumu yao ya kila siku.
Hivyo brightermango family na team ya tech wakatafuta jinsi ambavyo wa Tanzania wameweza kurudi mtandaoni na kuendeleza majukumu. Aidha team imegundua matumizi ya Vpn yaani "Virtual Private Network" Ambapo mtumiaji hupakua aplikesheni ya Vpn ...ambapo zipo zile vpn za Kulipia kwa mwezi na Zile za bure.
Kazi kubwa ya vpn ni kuboresha mtandao na pia kuweka matumizi ya mtandao kuwa siri na kubadilisha eneo la mtumiaji kuwa mahali pengine..