Baada ya raisi Donald trump kuagiza uhesabuji upua wa kura huko nchini marekani kwenye majimbo makubwa aliyokuwa akihisi ameibiwa kura... Trump Ameamua kurihusu makabidhiano ya taratibu ya uraisi na raisi mteule Joe Biden.
Hii ikiwa ni baada ya raisi Trump kupoteza majimbo hayo aliyokuwa akiyapigania... Aidha Trump ameahidi kuendelea na mchakato wa kudai ushindi wake kupitia mahakamani.
photo by google.com