JOE BIDEN ASHINDA URAISI NCHINI MAREKANI.

Na 

Brightermango. 





 Kufuatia uchaguzi uliopita wa Marekani juzi, Raisi mteule Joe Biden Atangazwa Mshindi baada ya kumuacha mbali mpinzani wake mkuu Bwana Donald Trump wa Chama cha Republicans.

  Biden alikuwa akiwakilishwa na chama cha Democratic ambacho pia kiliwahi kumsimamisha raisi Barack Hussein Obama kama mgombea wake katika awamu mbili zilizopita akishinda zote kabla ya raisi Trump.


Biden kama Raisi lakini Mama Harris kamala kama makamo wake wa rais.


Baada ya kuteuliwa, Raisi mteule Biden alikuwa na neno la Shukrani, lakini zaidi aliweka mkazo kwenye kuacha hasira na pia kwenye kuwatumikia wamarekani woote kama itakavyoaminika kuwa yeye ndiye raisi wa Marekani.

 
Photo by google

Hongera President-elect Joe Biden.

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post