PATA UTAJIRI KWA NJIA HII YA WAZI.

Na,
brightermango.
 Hivi umeshawahi kuwa kwenye hali kama hii, yaani uko total broke, Kila unayesema kwake shida yako anakushangaa, sio ndugu, sio best friends zako na wala sio wazazi wako woote wameamua kukuacha, Inaelekea wanachomaanisha tayari wewe ni kero kwao na hawapo tayari kuendelea na wewe kwenye safari ya ndoto zako.
 NAFIKIRI WAMEKWAMBIA MARA NYINGI SANA , Tafuta kazi ya kufanya, na kwa kiasi fulani umejaribu kutafuta bila mafanikio.

WAIT WAIT WAIT WAIT!.
Sina hakika ila inawezekana kabisa uko unakabiriwa na changamoto ninayoweza kuiita "GOLDEN CHALLENGE" kwani ukiivuka hiyo basi kuna uwezekano mkubwa ukatimiza malengo yako.
Kuna Mbongo Mmoja Juzi aliandika Japisho kama hili ninaloliaandaa kwa jina maarufu la @sirjeff na kutoa mfano halisi kuwa alipofika mida kama hii alipunguza namba za watu wasio wa msingi na wala sio kwa sababu walikuwa wabaya, la hasha! ila ni kwa sababu hawakuwa na mchango wowote zaidi ya kumpa taarifa ambazo alikuwa hazihitaji, Jeff anasema alikuwa anawasaliana na almost namba nne tu.

Je? na wewe ufanye hivyo... Kiukweli ninachokijua ni kuwa "UKWELI WAKO HAUWEZI KUWA SAWA NA WANGU" yaani ulivyofanya kufanikiwa mimi naweza kufanya kama wewe na bado kwa kiasi kikubwa nikashindwa kufanikiwa.

Kwahiyo imenibidi nichimbe zaidi na kusoma kitabu kimoja kinaitwa "THE MILLIONAIRE FASTLANE" alichoandika MJ DEMARCO... wa BOX 93124 Phoenix Nchini Marekani.
  MJ anasema ili kwa kiasi fulani ufanikiwe haraka hakuna Njia ya mkato, bali kuna uwezekano mmoja tu wa kuongeza speed ya kuyatafuta mafanikio.... yaani tofauti na vile wanavyosema watu kuwa Eti " Nenda shule" "graduate kutoka college" kisha "Tafuta kazi" fanya kwa nguvu zako huku ukiwekeza kiasi  na hapo baadae sasa anza sasa kufurahia maisha na that probably inaweza ikawa kwenye miaka ya 50s au 60s kitu ambacho sio sahihi... lakini pia ukichunguza unagundua njia hii inawaanda vijana waupate utajiri wakiwa wazee.
NA MJ anauita utajiri huu kuwa ni utajiri kwenye WHEELCHAIR AU ni sawa na kuambiwa KUWA TAJIRI TARATIBU YAANI POLEPOLE HADI PALE UNAPOZEEKA.

Ila guess what, Achana na hizo njia Ndefu, Mimi niko na njia fupi ya mafanikio.... njia hiyo ni KWANINI USIWE "INVENTOR-MVUMBUZI" na wala simaanishi mwanasayansi... na hili kiukweli halihitaji elimu ya makaratasi wala kipaji kama uasanii uigizaji au umaarufu.

Na unaweza drive kila unachokitaka.
ITAENDELEA ENDAPO TU UTAKA KUJUA ZAIDI.
NAMBA +255674167126.
BLOG brightermango.blogspot.com
page brightermango purpose
Group @brightermango


Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post