MESSI AMZIDI MABAO/MAGOLI PELE.

Lionel Messi wa Argentina na Club ya Barcelona ametimiza magoli 644 akiipiku Rekodi ya Pele ya magoli mengi ndani ya timu moja, Ambapo alifunga Magoli 643 akiwa na timu ya Santos nchini Brasil.


Pele ambaye juzi alimpongeza leonel Messi kwa kuifikia rekodi yake ya club moja bado anashikilia rekodi ya Magoli mengi zaidi ya Messi na Ronaldo ingawa bado haimanishi yeye pele ndio mchezaji mwenye magoli mengi katika mechi rasmi za kitaifa na vilabu.



Aidha messi alisaidia upatikanaji wa mabao mawili kwenye mchezo wao wa jana. 
 Pia Messi amewashukuru watu wote walioshiriki katika mafanikio yake hayo ya kumpita pele kwenye magoli ya club level.


We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom'' -Gwemela

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post