BAKARI MWAMUNYETO AWAPOTEZA MKE NA MTOTO.

Mchezaji wa Young African, Bakari Mwamunyeto Amewapoteza Mke na mtoto wake katika hospitali ya Muhimbili.... hii ni baada ya kushindwa kujifungua salama.

Brightermango tunawapa pole ndugu jamaa na marafiki wotee waliofikwa na msiba huo.



"We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom'' -Gwemela

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post