Serikali kupitia Waziri wa Tamisemi Bi. UMMY MWALIMU imetoa kibali cha kuajiri waalimu 6,649 hii leo jijini Dodoma, na serikali imewataka walimu wenye vigezo kujaza maombi yao kupitia mfumo rasmi wa
Tamisemi huku akisisitiza kuwa, ambaye hatafuata utaratibu huu wa uombaji wa ajira hataangaliwa bali kwa wale walio walemavu tuu ambapo wanatakiwa kyapeleka ofisi husika.
Pia ajira hizi ni kwa walimu walio hitimu kuanzia mwaka 2012 hadi 2019.
Gusa haya maneno yenye rangi ya blue ili kujaza maombi.
JAZA HAPA KUOMBA au tembelea
TAMISEMI. Ikiwa bado, tafadhali shirikisha wengine.
'We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom''
-Gwemela