JINSI YA KUOMBA ---AJIRA ZA MUDA ZA SENSA...

Nikiwa mmoja kati ya wale waliopata bahati ya kuingia na kumaliza kidato cha nne,  sasa naona na mimi nimekumbukwa. 

Ikiwa na wewe ni mmoja wa wenye vyeti hivi hasa cha kuzaliwa na kidato cha nne, bais imekupasa uwe mmoja kati ya wale wanaomba nafasi za ajira hizi tajwa na serikali upande wa takwimu.

na hii imawahusu woote wenye uwezo wa kati,mkubwa au waliobobea kutumia siulmu ya mkononi.
 
na kwa mantiki hii basi, unaweza kuwa  mmoja wa wale watakao wahesabu watu kwa kuwa uko na uzoefu wa kutumia simu yako kwa muda mrefu sasa.
kuomba gusa hapa kwenye maandishi ya rangi ya bluu hapa chini.


FAIDA ZA MOJA KWA MOJA.

Kuna faida nyingi sana katika kufanya hii kazi na kujipatia ujira wa jasho lako halali.
walio wengi hawana pa kupata hata mtaji.

zifuatazo ni mojawapo ya faida za kazi hii.

1. Kupata kipato binafsi.

Ikiwa wewe utawahesabu watu, basi serikali kupitia idara husika itawapatia ujira ili kuwezesha ufanyikaji wa kazi husika.

2. Kusaidia serikali kuijua hali ya maisha ya 
watu wake.

wakati huu wa sensa ya watu na makazi ni wakati muhimu sana, kwani kwa nchi yetu umekuwa ukifika kila baada ya miaka kumi. na hii inaonyesha utofauti mkubwa uliopo, kwahiyo ndani ya miaka 10 kabla ya sensa nyingine, inatupasa tupate mahitaji yaliyopungua wakati wa sensa ya nyuma.





"Butterflying ideas to you. We make your day, brightens it and inspire your night"~GWEMELA

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post