MANDONGA AMCHAPA MPINZANI KWA KO.

Bondia Karim Mandonga amemchapa mpinzani wake Musa Omary kwa T.K.O akitumia dakika moja na sekunde 56 katika pambano lililofanyika katika viwanja vya Leaders Jijini Dar es Salaam kwenye kilele cha tamasha la kihistoria la Sensabika.

Hii ni mara ya sita Baada ya takribani mapambano matano ya awali aliyowahi kupambana na kujinyakulia ushindi, Karim MANDONGA amepata umaarufu Baada ya kufanya promotion nzuri kwenye mapambano mawili yaliyopita Kwa kupoteza..


MANDONGA anatarajia kuingia tena ulingoni kwenye pambano lingine litakalofanyika Kidyama beach ⛱️ mkoani kigoma, mwezi wa Tisa.





Karim MANDONGA



#SENSABIKA2022


"Butterflying ideas to you. We make your day, brightens it and inspire your night"~GWEMELA

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post