WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023, MAJINA HAYA HAPA...

Baraza la mitihani Tanzania almaarufu kama Nectar, Leo tarehe 14 disemba 2022 wametangaza MAJINA ya wanafunzi na madaraja ya shule ambazo wamechaguliwa kujiunga nazo. 

Kama mifano, madaraja ya shule hizo yamegawanyika kama,shule za kutwa, Shule teule, Bweni kitaifa, ufundi, vipaji maalumu.

Lengo likiwa ni kuwakutanisha wanafunzi wenye uelewa sawa ili waweze kwenda kwenye mizani inayolingana katika nyakati za kujifunza. 


KUYAONA MAJINA GUSA LINKI ILIYOANDIKWA KWA WINO WA 🔵 BLUE KUWA MAJINA YOTE HAYA HAPA.......MAJINA YOTE 


"B
utterflying ideas to you. We make your day, brightens it and inspire your night"~GWEMELA

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post