Akothee aja juu kama moto wa kifuu kwa hasira atamani kummeza Jaguar juu ya madai ya nani tajiri zaidi, Harmonize nae amjibu Jaguar 😂

😳 Akothee aja juu kama moto wa kifuu kwa hasira atamani kummeza Jaguar juu ya madai ya nani tajiri zaidi, Harmonize nae amjibu Jaguar 



Awali, katika interview Jaguar ameulizwa kwanini hajaongoza inayodaiwa kuwa orodha ya wasanii tajiri zaidi Afrika mashariki huku Akothee na Harmonize wakitajwa kuwa mbele yake kwa utajii? ambapo Jaguar amejibu kwa kuipuuza orodha husika na kusema kwamba angeachana na muziki ikiwa ni kweli wasanii hao wawili wamemzidi utajiri

Hali hiyo imemfanya Akothee nae aibuke kwa nguvu zote kumjibu Jaguar, Akothee ameandika...

"poa ATI UNANIITA MUTU KAMA AKOTHEE?🤣🤣🤣🤣 Bro umeumia Ati nani amesema He is Richer than THE MADAMBOSS 🤣 . Since when did men forget themselves and start competing & comparing themselves with WOMEN? Most celebs/ mucisians run into politics to make money and to remain Relevant in power 🤣🤣🤣 not to help the common mwananchi or Change the Economy,

 you feel good when people chase you MheshimIwa mheshimiwa, I don't need that I AM AKOTHEE PERIOD kwani what qualifications do you have to earn a seat in parliament , if an exam was to be done on positions some politicians are holding 🤣🤣🤣🤣haki most would go home early last evening 🤣🤣🤣,so be humble 🙏 Let me not here any politician bragging with tax payers money ati " Riches " Riches kitu Gani ,

 those business flight tickets, Choppers are paid by the government not your personal money, while peoples children can't even afford school fee. All this charity you people do online is for PR .

 Always waiting for something trending to hope on SO You can hit headlines because the rest of the days you are irrelevant , why dint I see Choppers land in Kano plains when water the Nyando River banks did it's thing ? Why haven't we seen you take 5 children under your Arm and take them to school ? Hiring a chopper for an hour is about 200,000 ksh That's school fee for a needy student for 4 years 🤣🤣🤣🤣. 

A real Philanthropist can be felt / seen both off and on cameras . Again anyone with less than 3.5 m followers should not mention my name , you are clout chasing I am not in your league 🤣🤣🤣🤣 I think in the Kenyan Entertainment industry only Eric Omondi should mention my name , I DONT ENVY OR EYE ANY GOVERNMENT SEAT. 

I AM GOVERNMENT MYSELF Take this to the Bank Nisikie mwanaume mwingine ati nyenyenye na ma baby mama mumejaza kila taun nkt ama ndio wealth? Rich na hata mkiitwa fundraising ya foundation you bluetick rich kitu Gani ?" Ameandika Akothee

Harmonize yeye amemjibu Jaguar kwa kuandika..

"That is why you said you got money over me lol 😂 😂😂 I have already denied your title from our former president Magufuli. If I was at your age, I would have retired from music Love you bro, keep banking on it 100%✌✌😂😂," ameandika Harmonize

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post