Leo tarehe nne(4) mwezi wa pili (2) mwaka huu 2025, baraza la mitihani Tanzania lijulikanalo kama necta, ambapo kirefu chake ni "National examination council of Tanzania" baraza hilo limetangaza matokeo ya darasa la pili na hivyo kuibua hamasa kwa watahiniwa husika pamoja na wazazi kuyatafuta matokeo hayo ili kuhakikisha maadalizi yanakwenda sawasawa.
Ili kutazama tafadhali tembelea hapa chini kwenye linki iliyo katika rangi ya nyekundu.
Kwa habari ya matokeo hii hapa ndio linki ya matokeo husika.
,
,
"Butterflying ideas to you. We make your day, brightens it and inspire your night"~GWEMELA