MICHEZO MICHEZO MICHEZO NA BURUDANI-MWEGOHA CUP.

WELCOME AND DON'T FORGET TO SUBSCRIBE SO THAT TO SUPPORT OUR BLOG 


Ndugu msomaji karibu tena, wale wanaoishi maeneo ya mkoa wa Dodoma mbukweni  na wale majirani wa mkoa huu mungu awabariki sana, awali ya yote napenda nimtangulize mungu wangu kwenye haya mema aliyo tujaaliya yaani uzima huu wetu, na pia zaidi nimshukuru kwa nafasi ya kipekee ambayo ametupatia ya kuiona siku nyingine kama hii.

Lengo  la chapisho hili ndugu msomaji wangu ni kukupa taarifa wewe na umma kwa ujumla juu ya michezo ya MWEGOHA CUP yatakayo anza kutimua vumbi jumamosi ya tarehe 30 mwezi wa 3 mwaka 2019 katika viwanja vya social chini ya wanafunzi wa masters.
cha muhimu ndugu ule wasaa wa kubadilishana mawazo na kupunguza stress kwa wakazi wa Dodoma na maeneo ya jirani umefika, yaani kila mwenye nafasi anaarifiwa kuja kushuhudia burudani na sherehe ya kukata na shoka.
 heko na chereko ziwaendee waandaaji wa michezo hii, tukianza na uongozi wa wanafunzi UDOSO na bila kusahau utawala wa kitivo cha CoES.
 Aidha aina ya michezo itakayohusishwa ni pamoja na kula chakula, kukimbiza kuku, kukimbia ukiwa umevaa gunia, kucheza mpira wa miguu na zaidi ya yotee bonge la burudani litatolewa kufuatana na nafasi ya wasanii wa kizazi kipya na bongo flava.
Tokeo la picha la Udom coes

Tokeo la picha la Udom coesTokeo la picha la Udom coes

picha, Udomcoes.blogspot.com



usisahau kutia maguu.
Tokeo la picha la Udom coes

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post