Home #BEN_PAUL AU #BENPOO ABADILI DINI NA KUWA MUISLAM. Gwemela Michael. October 24, 2020 0 Comments Msanii wa Muziki kizazi kipya miondoko ya Rnb Almaarufu kama Ben Paul Ameonekana na vazii aina ya kanzu huku akiwa na vyeti vya konyesha kubadilisha kwake dini, Haya yameripotiwa na East Africa radio na kuwekwa mtandaoni pia.#KutokaMtandaoni Facebook Twitter