Mchezaji wa mpira wa miguu.. na mmoja kati ya mastaa wenye umaarufu mkubwa nchini Ureno, Juzi alhamisi ameoneka akiwa amenyoa kipara hii ni baada ya kupatwa na virusi vya corona.. ikiwa ni staili ambayo wengi hawajamzoea akinyoa. Ronaldo pia na mwanamitindo lakini hili haliko kimitindo ila kitabibu zaidi.