on instagram......Staa wa Bongofleva na "Kijijini Hitmaker," #Bestnaso ame confirm leo kuwa "Wasanii tunarogana sana, hata mimi pia naroga" amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha #Bongobeatz ya Startv leo.
#Bestnaso alikwenda kutambulisha nyimbo yake mpya ya #UNANIWEZA huku akiwataka washabiki wake kuendelea kuunga mkono mziki wake, awali pia #Bestnaso ametaja kuwa atawataja wasanii ambao wanaroga... Bestnaso pia alisema kuwa baadhi ya wasanii wamekuwa wakiulizwa kuhusu yeye kimataifa nakuishia kumkandia msanii huyo kuwa si lolote si chochote.
Je? wewe unafikiri nini kinaendelea katika muziki wa Bongo.