@brightermango
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Bwana John Mnyika ameongea na Vyombo vya habari leo na kutoa Tangazo la chama kwa umma ili kuwataka wabunge walioapishwa wahudhurie kikao hicho haraka wakitokea popote walipo.
We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom''
-Gwemela