brightermango.
Koffi amesema ya kuwa Zuchu ni msanii mkubwa sana Africa ajaye.. na zaidi amepongeza yeye kuwa chini ya Diamond Platnumz, Amemsifia sana zaidi akipongeza uwezo wake wa kuimba japo alimsikia tu kwenye gari walilokuwa wanasafiria.
Ameyasema hayo kwenye kipibdi cha #THESWITCH cha wasafi Fm.
Kongole kwa zuchu...