FANYA HIVI VITU 30, KAMA USIPOFANIKIWA BASI..

WARAKA WA MAFANIKIO KWA WATU WOTE.




1.ukifika sehemu salimia, 

2.ukiondoka aga,

 3.ukisaidiwa shukuru, 

4.ukiahidi tekeleza,

5. ukikosea omba msamaha, 

6.kama hujaelewa uliza,

7.unacho wape na wengine, 

8. huna usione donge,

9.ukivunja lipa, 

10. hupendi basi heshimu, 

11.ukipendwa onyesha upendo

12.ukikopa lipa,

 13.Ukiulizwa jibu, 

14.ukiwasha zima, 

15.ukipasha pooza, 

16.ukifungua funga, 

18.Ukiibiwa usiibe.

17.ukinunua lipa,

19.Ukikopa lipa, 

20.Ukipungiwa punga,

21.ukipewa shukuru, 

22.ukiazima rudisha, 

23.huna kitu muombe Mungu ukishindwa omba msaada kwa watu,

24.wakifiwa kaziike, 

25.wakiugua kawatembelee, 

26.ukihuzunika lia,

 27.ukifanikiwa furahi.

28. huwezi kusaidia basi usisumbue,

 29.ukiharibu rekebisha, 

30.ukichafua safisha.

NB; YOOTE HAYO UKIYAFANYA NA WASIPO KUFANYIA WATU USIDAI.


#e40lesswisdom #bong #bongo #queen #sister #lightroom #tanzania🇹🇿 #daressalaam #vunjabei #see #rwanda #homesweethome #cant #wait 

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post