Bodi ya mikopo nchini Tanzania yatoa idadi mpya ya wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu huku ikiwakumbusha baadhi ya waombaji ambao watakaotaka kukata rufaa kufanya hivyo ndani ya siku saba kuanzia sasa.
Idadi ya waliopata rasmi ni 3544 kwa mujibu wa taarifa rasmi ya tovuti ya bodi ya mikopo, huku fedha Jumla ya shilingi Billioni 11.04 za kitanzania zikiwekwa kwenye account za wanufaika hao ..
Aidha bodi imewataka wote walioomba kuangalia taarifa zao kwenye account za SIPA(Namely"STUDENT'S INDIVIDUAL PERMANENT ACCOUNT")