#MICHEZO UGANDA YASHINDA UBINGWA #CECAFA-U20. Tanzania na Uganda Zafuzu #AfconU20. (4:1)

Fainali kati ya timu ya Taifa ya vijana U20 ya Uganda imeibuka na ushindi mnono kwenye fainali yake leo hii tarehe 2 mwezi wa Kumi na mbili dhidi ya serengeti Boys, Timu ya taifa ya Tanzania ya vijana U20 kwa jumla ya magoli 4 kwa moja.


Wafungaji wa Uganda wakiwa ni 

(Bassangwa dk 12, Sserwadda dk 44, Bogere dk 62, Semakule dk 72,) wakati lile la Serengeti Boys wakifunga kwa penalti dk 30.




''We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom'' -Gwemela

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post