#SIASA #BOBIWINE KUENDELEA NA KAMPENI BAADA YA KUWASILISHA MALALAMIKO KWA TUME.

Na brightermango.

Mgombea Uraisi wa Urais nchini Uganda, Bwana Robert Kyagulanyi almaarufu kama #Bobiwine 

Leo tarehe 2 alisitisha kampeni na kuelekea tume ya uchaguzi huku akiweka wazi malalamiko yake kuhusu matumizi makubwa ya nguvu na moto.


Lakini pia Bobiwine ameruhusu kuendelea kampeni kesho tarehe 3 Disemba.




"We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom'' -Gwemela

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post