Kwa asili cancer ni wingi wa cell aina fulani ndani ya mwili wa mwanadamu. kwahiyo kama mwilini mwako kutakuwa na wingi uliopitiliza wa seli za damu basi utapata saratani ya damu nakadhalika. Na njia kubwa iliyochaguliwa na madaktari wengi ni ile ya mionzi. mgonjwa ataandikiwa dozi ya kuwa anahudhuria kwa kila muda maalumu ili kuziua au kupunguza seli hizo zinazokuwa kwa wingi mwilini.
KAMA HUJUI LEO NAKUSOGEZEA HII.
Mtaalamu wa kwanza kugundua radioactivity ni Bi. Marie Curie akiwa na Mumewe.. lakini wataalamu wa mambo wanasema ati sio mumewe aliyepata kugundua ila ni mkewe.
Kwahivo.. Mama Curie ndiye aliyefanya mpaka sasa sisi hivi leo tuna nafasi ya kutibu Saratani mbalimbali.
Akiwa kama Mama na shujaa... nafikiri matumizi ya Radiations kuuwa Watu.. au kutengeneza mionzi hatarishi asingeyaruhusu na kama ni yeye nafikiri pia asingeruhusu matumizi ya Kanuni ile ya Bwana Albert Enstein E=mc2 kutengenezea bomu lililouwa maelfu ya watu huko japan.
#Standforhumanracesurvival
#e40lesswisdom
Science when used correctly saves humanity but otherwise it kills without mercy and anhillate every race.