TRUMP AKANUSHA UTEUZI WA BIDEN.

Na 

Brightermango





Trump amekanusha matokeo yaliyotangazwa kwa kusema kuwa yeye ndie aliyepaswa kutangazwa mshindi kwa idadi ya kura Millioni 71 Ameripoti  MillardAyo.


BIDEN ametangazwa mshindi kwa zaidi ua kura Millioni 75 na huku akishinda majimbo 290,ikiwa na idadi ya majimbo ishirini zaidi ya yale 270 yaliyotakiwa.

Aidha mpaka sasa.. Donald Trump ameshapeleka malalamiko yake mahakamani tayari kusubiri usuluhishi wa mahakama.





Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post