Na
Brightermango.
Imepita Miaka Kadhaaa bila ya Diamond na Zari kukutana.
Lakini jana kwa uwezo wake mwenyezi Mungu wamekutana tena. Mimi ninachojua kukutana kwao sio makosa lakini ni kosa sana kwao kutuambiwa ya kuwa hali ilikuwa shwari kwa upande wao na kuwa hawajawahi kuwa na tatizo, kwa maana hiyo ni wazi hawa walikuwa na tofauti zao ambazo pia mimi na wewe pengine hatuzijui na labda hazituhusu, hata kama hazituhusu... lakini tazama hii video clip kujionena hapo
Hii ya @mobettohtothetop na @tanashadonna Hapa Bongo na kuwapa uja mwepesi ina Maana gani kimazingira.
â–ªPhoto credit [from google.com]
https://www.instagram.com/p/CHSfVgegwbG/?igshid=1r6p9iqk65bqo