MAPYA KUTOKA SIMBA SPORTS CLUB LEO...

Kufuatia kauli ya msemaji mkuu wa simba Bwana haji manara kuelekea mchezo wa marudiano kati ha simba na plateau ya Nigeria, kuwa washabiki wote wanapaswa kuvaa aina ya jezi ya simba na si vinginevyo,  Simba  imetoa Taarifa kwa umma na Mo dewji ameweka taarifa hiyo kwenye ukarasa wake wa facebook leo hivi.

"club ya simba inapenda kuwataarifu umma kwamba kauli inayoashiria kuzuia baadhi ya washabiki wasifike uwanjani kuangalia  mchezo kati ya simba dhidi ya plateau united   ya Nigeria haikutolewa kwa maelekezo ya club. kauli hiyo haiwakilishi utamaduni wa kihistoria wa klabu yetu wa kutobagua wala kubughudhi washabaki wa timu pinzani wanapokuja kutazama mechi zetu. klabu imechukua hatua za kiutawala ndani ya klabu kuhakikisha swala kama hili halitokei tena." 



hii kauli inafuatia baada ya TFF Kukemea vikali matumizi ya kauli za ubaguzi.


 ''We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom'' -Gwemela

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post