"SITORUDIA PAMBANO NA Conor Mc Gregory wala PERIER" Alisema Nurmagemadov huku akisisitiza ya kuwa yeye hakuwa anapigana kwa sababu ya pesa wala umaarufu.
KWA UPANDE WAKE BOSS WA #UFC Mr White amesema kuwa ana mpango wa kumrudisha mbabe huyo mwenge mapambano 39 na kushinda yote huko ABUDHABI Saudi Arabia.
Add caption |
Je? Ni kweli kwamba Nurmagomedov hataki pambano dhidi ya Conor Mc Gregory.
lets wait and see. We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom''
-Gwemela