PICHA YA MESSI NA RONALDO WAKIFIKA MARA YA KWANZA KWENYE FIFA.COM AWARDS.

Mwaka 2007 Messi na Ronaldo Walihudhuria Fifa Awards wakiwa na umri wa miaka 20 na 22, 

Katika mashindano hayo Messi alishika nafasi ya pili huku Ronaldo akashika nafasi ya tatu na Ricardo Kaka akashika nafasi ya Kwanza.
Inaweza ikawa ni muda sasa kuamini hawa hawawezi kuendelea kushindanishwa kwenye Fifa Mens Awards.


Subscribe Brightermango.
Share 
Comment.

'We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom'' -Gwemela

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post