Musk ambae ndie muanzilishi wa paypal na space X ameongezeka zaidi baada ya thamani za kampuni zake kupanda thamani.
JEFF BEZOS ambaye alikuwa ndie tajiri wa kwanza toka mwaka 2017, sasa ameachwa nyuma na ELON MUSK kwa takriban dola billioni moja... 184$billion zikiwa ni za Jeff Bezos, na upande ule wa pili ukiwa na dola 185$billion.