BA sports club una mahusiano yoyote na paka.
Kwa upande wangu mimi naona sio kweli, kwa sababu ya maandalizi ya simba na pia kuondoka katika mchezo timu ya platnum kuliwagharimu.
Aidha pia matumizi sahihi ya mipira iliyokufa na kulalamika na refa kuliwakosesha suluhu au ushindi hapo jana.
Kwahiyo platnum ya zimbabwe haikuwa na nafasi finyu la, ilikuwa na nafasi ya kuushinda mchezo wa jana..
SIMBA na NAMUNGO kusonga kwao mbele ni faida ya taifa letu ambapo sasa nchi inaweza kupeleka washiriki wanne badala ya wale wawili wa awali iliyokuwa ikiwapeleka.
''We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom''
-Gwemela