JIFUNZE VITU HIVI VITATU: FAMILIA,BRAND NA PASSION.

 VITU VITATU MUHIMU KWANGU.

    FAMILIA, Hawa ni muhimu sana kwangu, hawa ni wale wote ambao niko nao kwenye kila nyakati, nao ni ndugu zangu,Marafiki zangu, na watu woote wanaonizunguka kwenye shughuli zangu za kila siku... iwe jua iwe mvua wako na mimi.
Na wanawakilishwa na picha ya kwanza.
Faida yao kwa mtu yeyote ni kuwa hawa ndio kimbilio sahihi ila sharti ni iwe uliwachagua sawasawa... na wewe unayeangalia post hii ni mmoja wa familia yangu... Ninakuheshimu,Nayaheshimu yoote ufanyayo na natamani ulijue hili.



PILI NI: BRAND.
Kwa wasionifahau, Majina yangu kamili ni Gwemela Conrad Michael, na kwa jinsi hii jina kama Brighter Mango halina maana kwenye kuitwa kwangu na watu. Brightermango ni jina la kibidhaa yaani brand name, na mpaka sasa ninashukuru si haba watu wananisupport kiasi chake.
NINAJUA KITU HIKI YA KUWA, KUTENGENEZA JINA NI KAZI SANA NA NDIO SABABU NINAANDA VITU VINAVYOAMBATANA NA JINA.
Jukumu la jina langu ni kufungua mwanga kwa yale watu hawayafahamu hasa yanayohusiana na mafanikio aidha ya kiroho kimwili na kiakili.
HILI NI PICHA YA PILI.

KITU CHA TATU NI; FURAHA YANGU,
Ninayo mengi sana yanayoweza kunipa furaha sana lakini hili la kuchukua memories(kumbukumbu) ni la kwanza, nilisomea elimu ya miamba(geology) but sijawahi furahia nikiwa mgodini japo Afrika tunaandaliwa kufurahia tukiwa kazini na sio kazi ambayo tutaifurahia.
KWA HIYO NINAPENDA SANA KUTENGENEZA KUMBUKUMBU KWA KUTUMIA DSLR camera kama vile Canon, Nikon, Sony.

NINAJUA PIA KAMA ALIVYOSEMA FIDQ "KISICHO JUHUDI HAKI-HAPPEN"
.....................
ABOVE ALL HAYA YOOTE NI MUHIMU LAKINI MUUMBAJI WANGU NI ZAIDI YA HAYO YOOTE.

.......................
    We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom'' -Gwemela

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post