IMAGINE UNGEBADILISHA HAYA KWENYE JAMII YAKO.

NA 
GWEMELA.

UNAWEZA KUWA NA HARAKAKATI ZA KUTENGENEZA rocket ya kwenda Mars lakini ukashindwa kutatua tatizo dogo kwenye mtaa wako.

Imagine kama kuna watu zaidi ya milioni kadhaa wanakaa nje bila makazi na makanisa au miskiti iko wazi,( afadhali miskitini pana achwa wazi kwa kila mtu) .

Imagine kuna mtu sasa hivi yuko bize anatengeneza Ubunifu wa kubadirisha Matumizi ya M pesa yawe katika kutuma mzigo na sio pesa kama tulivyozoea na mtaani kwake kuna takataka nyingi tu ambapo akitumia hiyo nguvu ya kutafuta majibu magumu anaweza kuwasaidia watu mtaani kuepuka kipindupindu na kuwa na jamii bora.

IMAGINE kuna mtu right now ana struggle kutibiwa kwa kukosa damu mwilini lakini wewe huku kwa kiasi fulani unayo damu nyingi mpaka wakati fulani mishipa inakuuma na kichwa kugonga hasa kwa sababu ya damu nyingi.

IMAGINE unanunua kila kitu nyumbani kwenu, lakini wakati wa matumizi ya chakula unajikuta unajitanguliza wewe kwanza alafu wengine ndio Watafuatia,  huo ni ubinafsi.

Imagine unamwaga Chakula while on the other part of this world kuna watoto wadogo wamekosa tonge moja la ugali/wali au hata chochote kitu. Unaweza badilisha dhana hizi zote kwa kufanya haya.

1. Fungua taasisi.
2. Simamia kitu unachotaka kubadilisha.
3. JENGA UAMINIFU NA WATU WANAOSAIDIA HILO WAZO.
4. USitake majibu ya haraka kwenye jambo lako.
5. Kuwa muwazi kwa kila hatua unayopiga.
6. Usiwe na muunganiko na hisia binafsi huku na huko.
7. JINFUNZE KWA KUPITIA CHANGAMOTO ZAKO.
 MWISHO.






'We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom'' -Gwemela

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post