WAFUKUA MAKABURI KUFUATILIA SAKATA LA MORRISON;YANGA YAFUNGIWA MISIMU MITATU KUFANYA USAJILI./

 Na
Brightermango.
Hii ni baada ya timu ya Yanga kushindwa kutekeleza maagizo ya FIFA kumlipa Hamisi Tambwe Madeni yake yote ya awali na kumuongezea asilimia 5 ya pesa hizo ambazo jumla ni 44 millioni za shillingi ya Tanzania.
Chanzo: Radio Joy 90.5 fm.

Hivyo katazo la FIFA linawafanya yanga kukalia kuti kavu usajili wa misimu mitatu ijayo. Kwa kawaida changamoto za kilichowapata yanga ni kikubwa sana kiasi cha kutoruhusu maboresho ndani siku hizi za karibuni.



Nini maoni yako.
Acha comment hapo chini.

We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom'' -Gwemela

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post