Kiungo wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Manchester United Paul Pogba naye amefanya kama mchezaji wa Ureno Cristiano Ronaldo, kwa kuondoa chupa ya kinywaji aina ya bia kwenye meza ambayo alikuwa amekaa kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wao na Ujerumani kumalizika.
Paul labile Pogba. |
Watu wengi wametafsiri kuwa huwenda sababu za kiimani ndicho chanzo cha nyota huyo kuondoa kilevi mezani kwa kuwa ni muumini wa dini ya kiislamu, dini ambayo inakataza pombe.
''We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom''
-Gwemela