Mtangazaji Fredwaa afariki ajalini.
Mwandishi wa habari Fred Fidelis maarufu Fredwaa amefariki katika ajali ya gari iliyotokea leo Jumamosi Juni 12, 2021 saa 8 mchana Kawe mkoani Dar es Salaam.Fredwaa. |
''We believe, life is only a gift that expires and success in anything we have is not ours, its for human kind and so our wisdom''
-Gwemela