Taarifa rasmi kutoka kwenye makao makuu ya papa yaani "holy see" imeweka bayana kuwa, Papa Francis atakuwa kwenye hospital huko roma na atapasuliwa "colon".
Hii ikiwa ni baada ya siku tatu zilizopita kumpongeza papa mstaafu Beneddict wa 16 au pope beneddict XXI ambaye anaishi na kutumika kwa sasa kama Padre huko VATICAN.
Aidha Pope Francis atasimamisha mipango yake ya siku ya jumapili na jumatatu mpaka hapo atakapokuwa vizuri.
|
Pope Francis. |
"New beginning starts here at brightermango. We make your day, brightens it and inspire your night"~GWEMELA