BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU TANZANIA YATOA SIKU ZAIDI KUHAKIKI TAARIFA ZA WAOMBAJI.

    By Gwemela
       Free Blogger
     Bodi ya mikopo elimu ya juu imetoa tangazo rasmi kwa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu huku wakiwa wameambatanisha vibaya viambatanisho vyao vya kuombea mkopo huo, kurudi na kuingia kwenye akaunti zao ili waweze kurekebisha na kuwa na viambatanisho vyote vilivyotakiwa kuwekwa kutoka kwa mwombaji tarehe ya mwisho kutoka sasa ikiwa ni 15 oktoba mwaka huu 2019.
      Aidha Bodi imesema kuwa haitachelewesha utoaji wa mikopo hiyo kabla ya kufunguliwa kwa vyuo vikuu na kuanza masomo, hayo yameripotiwa na kituo kimoja cha redio cha Cloud Fm ambacho kipo jijini Dar es salaam na Mtangazaji maarufu KP (Bwana Masoud Kipanya).
Image result for heslb

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post