HATIMAYE SIKU MOJA IMEBAKI KABLA YA KUFUNGWA KWA WALIOPATA ZAIDI YA VYUO VIWILI KUDHIBITISHA CHUO KIMOJA

BY
Gwemela Michael
Blogger.
   HII ni kutoka na matangazo mbalimbali ya taasisi za serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo imetoa tarehe ya mwisho kuwa ni oktoba 4 mwaka huu, hivyo wale waliochaguliwa na zaidi ya chuo kimoja au viwili wanapaswa kujielekeza moja kwa moja kwenye chuo na kozi waipendayo.
   Aidha chuo kikuu cha Dodoma( https://www.udom.ac.tz
   )Image result for udomImage result for udom
copied from udom.ac.tz
 pia kimfungua dirisha la nne ndani ya wiki hii kabla ya siku hizo za kufungwa kwa drisha hili la kuhakiki na kudhibitisha chuo kimoja ambacho mwanafunzi husika angependa kwenda kujisomea. Kutokana na wingi wa wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na chuo hicho, jamii inatiwa hamasa kuchaguwa chuo hicho kama chuo chenye uwezo wa kupokea wanafunzi waliokosa kudahiliwa kwa awamu tatu zote zilizopita.
 Tangazo rasmi la kuhakiki vyuo ndani ya oktoba 4 limetolewa na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania.Hivyo tembelea link hii chini kupata taarifa kamili.
https://www.heslb.go.tz     
Image result for heslbImage result for heslb
copied from unistoretz.com    copied from heslb.go.tz

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post