NINI KIFANYIKE KATIKA NYAKATI HIZI NGUMU ZA #COVID19.

NINI KIFANYIKE KATIKA NYAKATI HIZI NGUMU 
                       ZA COVID19 

  Inasemekana kuwa kila wazo lina mwanzo wake..
na mara nyingi mawazo ya mafanikio yamekuwa yakitokeza katika nyakati hizi ngumu kama za sasa...
NGOJA NIKUSANUE KIONGOZII unaepitia hii Threads....
badala ya kujikunyata na kuogopa kujipa jukumu la kujifunza maarifa au kama vipi tengeneza jukumu lako ili uweze kujipatia wazo jipya na la faida, mwandishi maarufu wa vitabu vya Rich dad poor Dad Bwana Robert Kiyosaki aliwahi kusema hivi..
"maeneo tajiri zaidi Duniani ni makaburi" akimaanisha mawazo mazuri mengi yamezikwa huku yakiwa hayajawa wazi kabisa kwenye maisha yetu haya...
Ebwana mimi naamini kama inavyosemekana kuwa wakati wa ugumu huu wa #covid19 unaweza kuja na wazo jipya.
CEO,
Gwemela Conrad Michael,
FB page👉Brightermango purpose
fb group👉Brightermango_purpose
Fb account👉Brighter Mango
Youtube👉Brightermango
Instagram @brightermango
audio_mack brightermango kwa podcast zangu.
blogu yangu ni brightermango.blogspot.com.
SIMU 0674167126/0747270003

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post