USIPOJIITA CHINI YA MAJINA YAO KAMA DIAMOND PLATNUMZ NA WENGINE WAO WATAJIITA KWA JINA LAKO.

USIPOJIITA CHINI YA MAJINA YAO, WAO WATAJIITA CHINI YA JINA LAKO!...
::::::::::::::::::::::::::::::::::::::●●●:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
 
Wengine wanajiita Ashatrump, ommyplatnumz, NeemaDimpoz na hata wengine kujiita kuwa wao ni wakina Messi,suarez, CR7 au Ronaldo, na wengine pia kujipa nafasi za waliojitungia kama Simba wa Morogoro na King Kiba( Ali Kiba) Huku wakiwa hawajui chochote kuhusiana na thamani ya majina yao.
::::::::::::::::::::::::::::::::::::::■□FACTS□■::::::::::::::::::::::::::::::
❌Unapochukua utambulisho mpya, mara nyingi unakuwa umekiri kuuacha utambulisho wako wa zamani na hivyo kuambatana na ule mpya. Kwahivyo basi unapochukua jina jipya alafu  pia ni la mtu inakufanya kutumia nguvu kubwa kumtengenezea huyo mwenye hilo jina umaarufu kwa wewe kuwa kama kichochezi asili (Natural tirggers). kwa hiyo kama umeamua kuacha jina lako la mwanzo basi tengeneza jina lako mpya. Pia hapa unaweza nicheki mimi nikutengezee jina flani hivi lenye kukubebea kazi au ideas zako.
🌱sikia; Ukibrand jina lako, utapata faida za brand yako naturally.
❌Ⓜtu akijiita jina jipya ambalo halileti maana yoyote huku likiwa linawapa watu jukumu la kubuni maana yake na wakapata maana, basi brand yako inaweza kufa ki urahisi. kwa mfano kujiita rasmchafu inawezekana watu wakasema " rasi mchafu au Rais Mchafu" kitu ambacho kinaweza futa  brand yako.
❌Mda au wakati unaopaswa kutengenza jina au brand huwa mrefu na hivyo kama ulikuwa ukitengeneza brand ya mtu utakuwa ulipoteza wakati wako.
📚📚📚📚📚📚📚📚📚SOMA ALAMA ZA NYAKATI
✔UKIONA MAJINA HAYO BADILI NA UJIITE KAWAIDA.
✔KAMA UMEPOTEZA MUDA MPAKA SASA HUJACHELEWA BADILISHA JINA.
✔ILI UBAKI WEWE FANYA KITU KIMOJA KWA WAKATI
✔IAMINI JAMII MFANO MZURI NI Huyu brother Millard Ayo.
✔Usikimbizane na watu pamoja na matukio, watu wanaweza wasikuelewe sasa lakini by a year wakakuelewa na kufuatilia zaidi kuliko mwanzo.
✔Chagua Jina linalotamkika au anza na mtaji wa watu wanaojua jina lako.
Brightermango purpose
@from_facebook

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post