MDUDE NYAGALI; AAPA KUACHA ALAMA KAMA KIJANA KATIKA TAIFA KWA KUIPIGANIA KATIBA MPYA..

Mdude Nyagali.

Baada ya kuachiliwa huru na mahakama, Mdude Nyagali, anayejipambanua kuwa mwana denocrasia na maendeleo alitia neno kwenye nafasi ya kijana kuidai katiba mpya.

"Mimi kama kijana kwenye taifa hili nina jukumu la kuacha alama,na alama hiyo sijaiona kama Katiba Mpya haitapatikana wala Tume Huru ya Uchaguzi"

-Mdude Nyangali.

"New beginning starts here at brightermango. We make your day, brightens it and inspire your night"~GWEMELA

Post a Comment

THANK YOU FOR A COMMENT!

Previous Post Next Post