KUNA PAPA watatu waliowahi kuishi hapa Duniani wakiwa ni waafrika..
Mapapa hao ni
1. papa VICTOR I.
ALikuwa ni papa wa 14 baada ya petro.
2. Papa Melchiades.
Alikuwa ni papa wa 32 baada ya petro
na wa mwisho mpaka sasa ni
3. Papa GELASIUS I.
Alikuwa ni papa wa 49.
Ingia ndani ya video kujifunza zaidi.
pia unaweza kutembelea blog yetu ya
brightermango.blogspot.com
karibu...tujifunze na usiache kususcribe ili kupokea zaidi.
imeandikwa na kusomwa kwako na
"New beginning starts here at brightermango. We make your day, brightens it and inspire your night"~GWEMELA